UCHUUZI- AFRIKA KATIKA AWAMU YA MAKUCHA
YA UTANDAWAZI
UTANGULIZI
Awali ya yote nitangulize salamu zangu
kwako wewe unayenisikiliza kwa namna ambavyo utaoona itakupendeza wewe. Iwe ni
kwa mrengo wa imani yako, itikadi yako ama kulingana na umri wako, hapo ulipo
salamu zangu zikufikie.
Pia nimshukuru mwenyezi Mungu
aliyenijalia afya njema na kuendelea kunibariki kwa kila jambo ninalolitenda.