Hakuna anayependa kusahihishwa, kugombana au kukemewa mbele za watu, hii ndiyo tabia ya watu wajeuri na walio na tabia za kitukutu. Mara nyingine hudhani wanapata sifa. Wako watu wa jinsi hii ambao hawawezi kukugombeza au (kukupa vidonge vyako) mkiwa wawili peke yenu, watangoja watu wengine wawepo ndiyo waanze kubwabwaja, cha kufanya jiepushe nao.
Wednesday, March 19, 2014
Saturday, March 15, 2014
UMEOMBA NAFASI HIZI?????
Hizi ni kazi chache kati ya kazi nyingi mpya zilizotangazwa Leo. Ili Kuweza kuona kazi zote zilizotangazwa kwa leo na wiki nzima, tembelea ukurasa huu Hapa > Jobs in Tanzania - Tanzania Employment Opportunities
Friday, March 14, 2014
Walimu wapya na walikopangiwa......
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

AJIRA LEO Trh 14/3/2014
Sales & Marketing Executives
Deadline: 31 Mar 2014
Company: Akfootwear
Location : Dar Es Salaam
POSITION DESCRIPTION
Deadline: 31 Mar 2014
Company: Akfootwear
Location : Dar Es Salaam
POSITION DESCRIPTION
KAULI YA SIZITAKI MBICHI HIZI.....
Nikisema tunaendeleza utamaduni wa chama kimoja ndani ya mfumo wa vyama vingi watu wengine inawakera na wanaanza kulalamika na kunilalamikia. Lakini sitoacha kusema kwa sababu mimi ni muumini wa falsafa mojawapo ya Steve Biko kwamba “I write what I like’.
Thursday, March 13, 2014
NAFASI ZA KAZI LEO 13/3/2014
Assistant Bakery
Deadline: 28 Mar 2014
COMPANY: Excel Management&Outsourcing (T) Limited
Location ; Dar Es Salaam
Our client is Mokka City (Cafe & Lounge) base in Dare salaam is looking to hire bakery assistant for his office in dare salaam, starting date is April, below are the requirement and other procedure for application of this Job.
Job description: To prepares, finish, pack and deliver exceptional Mokka City bakery, pastry and food products in clean, food code compliant working environment. Follow recipes and proper baking procedures. Identify inadequate inventory levels and any operational or product inefficiencies through proper communication channels. Practice effective food cost controls and maintain accurate recordkeeping of products prepared
Key duties and responsibilities: An Assistant bakery will be expected to perform any of the following tasks

HONGERA Mh. SAMWEL SITA
Mimi ni miongoni mwa waliofarijika kwa ushindi wa Sitta hapo jana, kufuatia ushindi wa kishindo wa Mhe. Samweli Sitta hapo jana katika kinyang'anyiro cha Uenyekiti wa Kudumu wa Bunge Mauls, Mhe. Sitta anaenekana kukubalika sana, ambao naimani wale mlioangalia live, pia mlimuona ni nani mtu wa kwanza kunyanyuka pale alipo na kwenda kumpongeza!.
Tuesday, March 11, 2014
TUJIKUMBUSHE TULIPOTOKA
KARUDI BABA MMOJA
Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali
Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili
Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali
Wakataka na kauli iwafe maishani.
Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali
Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili
Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali
Wakataka na kauli iwafe maishani.