Music

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Friday, December 19, 2014

BETI MAHUSUSI ZA KUAGA MWAKA 2014


Shairi naliandika, Natumai mko poa
Izraili amefika, Roho yangu kuitoa
Mwito kifo naitika, Meshindwa kujiokoa
Hata hivyo yote tisa, Kumi mie naondoka

Tuesday, December 9, 2014

MAMBO 20 MUHIMU YA WANANCHI YALIYOTUPWA NA KATIBA INAYOPENDEKEZWA. UNATAKA KUUJUA UKWELI BASI SOMA HAPA NA MJULISHE MWENZIO- Humphrey Polepole


MAMBO 20 MUHIMU YA WANANCHI YALIYOTUPWA NA KATIBA INAYOPENDEKEZWA. UNATAKA KUUJUA UKWELI BASI SOMA HAPA NA MJULISHE MWENZIO
Katiba Inayopendekezwa ina mapungufu makubwa na imeyatupilia mbali maoni muhimu ya wananchi kama yalivyotolewa na wananchi wenyewe kama ifuatavyo;-

JE, NI HALALI KUTANGAZA NA KUSHEREKEA TAREHE 9/12 KAMA SIKU YA UHURU WA TANZANIA???


JE, NI HALALI KUTANGAZA NA KUSHEREKEA TAREHE 9/12 KAMA SIKU YA UHURU WA TANZANIA???
Ilikuwa mwaka 1954, Julius K. Nyerere mwalimu wa shule ya sekondari na mmojawapo kati ya watanganyika wawili waliokuwa na elimu ya chuo kikuu walipounda chama cha TANU, ambacho kilichochea na kusukuma harakati za kudai uhuru na hatimaye tarehe 9/12/1961 nchi ya Tanganyika ilipata uhuru na Mwl. J.K.Nyerere akawa waziri mkuu chini ya katiba mpya.
Mwaka mmoja baadaye yaani 9/12/1962, Tanganyika ilikuwa Jamhuri na Mwl. J.K Nyerere akawa rais wa kwanza.

Friday, December 5, 2014

RAIS KENYATTA AMGARAGAZA BENSOUDA

Mahakama ya kimataifa ya ICC imetupilia mbali kesi ya jinai inayomkabili Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta.

NASAHA ZA COMRADE MUSA K MOLLEL

UMUHIMU WA SERIKALI ZA MITAA KWA UFUPI.
Serikali yeyote yenye kuwajali wananchi huandaa budget yake kwa kuangalia vipao mbele vya mikoa (hapa ili mkoa, halmashauri, iweze kutoa mapendekezo ya priorities, council lazima itoe maoni ambayo wameyapata kwa 
wdc ya kata. Na ili wdc ikae lazima kila mwenyekiti alete maoni ya mkutano mkuu wa mtaa/kitongoji.) hivyo ndo kusema asili ya budget ni serrikali ya mtaa, lakini pia ili serikali iweze kutekeleza budget lazma serikali ya mtaa ndo mtekelezaji wa mwisho. Hakuna mradi utakaotekelezwa bila kugusa mtaa flani, sasa ndo kusema watekelezaji muhimu wa budget ni viongozi waserkali za mitaa.

VIGOGO IKULU WAKWAPUA FEDHA ZA ESCROW

 
Kafulila alipuka tena,sasa ni ikulu lawamani 

KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA


Enyi ndugu wazalendo, Nahubiria hadhara
Tuzidi kukaza mwendo, Kuongoza msafara
Uongozi ni vitendo, Si fujo wala papara
Uchaguzi wanukia, Nampa anotujali

AHADI ZA MWAKA 2010


Wakati tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu 2015 ni vyema tukajiuliza Je, ahadi hizi zimetekelezwa na tuliowapa madaraka mwaka 2010?