Music

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Friday, April 11, 2014

NINAPOKUMBUKA MIAKA KADHAA YA KUZALIWA.....

Maalumu kwa mama yangu.
Ilikuwa tarehe 12th April 198…, saa mbili usiku jijini Arusha, ilikuwa siku ambayo familia ya Mesaya Simanga Masakoi na Tiinoi Mashon Kivuyo (Mr & Mrs Mesaya) walipotunukiwa na Mungu zawadi ya mtoto wa kiume. Najaribu kuvuta hisia zangu juu ya furaha waliokuwa nao vijana hawa wa enzi zile kwa kufanikiwa kumpata mtoto mwenye afya njema na ambaye alipofinywa kwenye kisigino cha mguu wake alilia mara tatu kuonyesha kwamba ni mwanaume rijali.

Sunday, April 6, 2014

Fukununu, makala muhimu sana kwenu wana-UDSM

CHUO KIKUU KIMEGEUKA CHOO KIKUU
Yapata miaka zaidi ya miaka miwili (2) toka makala hii iliyoshika kasi na kupendeza machoni mwa wasomi wa CHUO KIKUU ilipopotea kwenye mbao za matangazo za Cafteria na Getini Mabibo Hostel. Kwa wale waliokuwa sehemu ya umajimui huu wa UDSM, makala ya mwisho ilitoka tarehe 17th December 2011 ikiwa na kichwa cha habari kilichonakshiwa kwa maneno ya MCHAWI HUYU HAPA.

Monday, March 31, 2014

Kwa kauli hii, ni kheri kuishi na nguruwe kuliko wazungu.....

Read this very carefully and take a close guys look at yourself and the Environment That you live in today

Botha speech 1985

THE following is a speech made ​​by South African President PW forms Botha to the his Cabinet. This reprint frame written by David G. ILU for the Sunday Times, a South African newspaper, dated August 18, 1985.

================ "Pretoria has been made ​​by the White mind for the White man. We are not obliged even, the least to try to prove to anybody and to the Blacks That we are superior people. We have demonstrated That to the Blacks in a thousand and one ways. The Republic of South Africa That we know of today has not been created by wishful thinking. We have created it at the expense of intelligence, sweat and blood.

 

TUTORIAL ASSISTANT MATHEMATICS AND STATISTICS, ASSISTANT LECTURER MARKETING

MATHEMATICS AND STATISTICS TUTORIAL ASSISTANT
Qualifications: Bachelor Degree in Mathematics and Statistics with a GPA of 3.8 or above
Apply: Secretary, Public Service
Recruitment Secretariat,

Mawazo ya Prof. SHIVJI kuhusu Muungano....

UCHAMBUZI WA MABADILIKO YA 10 YA KATIBA YA ZANZIBAR YA MWAKA 1984: JE, 'SASA TUNAZO NCHI MBILI'?
Na
Issa Shivji
UTANGULIZI
Nimefurahi kwa sababu huu ni mkusanyiko wa wanazuoni na wasomi wenzangu ambao tumekusanyika kujadili jambo muhimu sana juu ya hatma ya nchi yetu. 

Sunday, March 30, 2014

Assistant Research Officers/ Interviewers - 20 Posts ( Salary USD 1200 per Month)

Scientist International Organization (SIO) is the world leading non-profit organization working in the core areas of supporting young scientists, science teachers and science learning institutions all over the world. In Africa SIO is working in partnership with the Ministry of Education in south sudan to implement two projects titled “ Project Science in South Sudan and Research on Challenges facing secondary schools in south sudan. To achieve the set objectives SIO is looking forward to recruit various intellectuals from African countries to help in the implementation of the projects.

Default Assistant Research Officers/ Interviewers - 20 Posts ( Salary USD 1200 per Month)

1. Project Title: Research on Challenges facing Sudanese Secondary Schools
Job Title: Assistant Research Officers/ Interviewers
Job Station: Juba, South Sudan Available Positions: 20 Positions
Contract Duration: 2 Years

Friday, March 28, 2014

Wednesday, March 26, 2014

Mwanafunzi fanya hivi upate kufaulu....P.II

MWANAFUNZI FANYA HIVI UPATE KUFAULU MITIHANI YAKO YA TAIFA
Awali ya yote niwasalimu na kama ilivyo ada kwa tamaduni zetu za kiafrika baada ya salamu kifuatacho ni kujualiana hali ya familia na utokako. Vivyo hivyo na mimi niwe na tumaini moyoni kwamba wewe msomaji wa makala hii u mzima na bukheri wa afya pamoja na familia yako.

Monday, March 24, 2014

Muhimu sana kwa wanafunzi......

MBINU ZA KUSOMA KWA MAFANIKIO
Asallam Allaeikum wenzangu waislamu na tumsifu Yesu kristo kwa wenzangu wenye imani ya kikristo. Vile vile msidhani nimewatenga wale msioamini upande wowote kati ya hizo mbili nilizotaja, la hasha, ila kwa kuwa hakuna salamu moja inayowaunganisha wote basi kila mmoja achukue nafasi yake ajisikie ndani ya moyo wake kwamba nimemsalimu kwa aina ya salamu wanayoitumia kwa imani yao.
Naam! Baada ya salamu hizo nikiwa na imani kwamba kila mmoja amefarijika kwa kutaja imani yake na ameitikia kutoka ndani ya nafsi na moyo wake, nami ni mzima bukheri wa afya tele. Nisileta hoja nyingi sana kwenye utangulizi wa mada ili nisichoshe medulla yako msomaji kabla ya kupata kupakua kile nilichokiandaa.