Music

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Tuesday, October 15, 2013

UDSM IN PICTURE

Viongozi wa vyama vya siasa wakutana na Rais Kikwete Ikulu leo

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

MKUTANO kati ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wa vyama vya siasa vyenye uwakilishi Bungeni umemalizika Ikulu, Dar Es Salaam, muda mfupi uliopita leo, Jumanne, Oktoba 15, 2013 kwa pande hizo mbili kukubaliana kama ifuatavyo:

Moja , kwamba vyama vyote vya siasa nchini vyenye mawazo, maoni na mapendekezo ya kuboresha Sheria ya Kurekebisha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba viwasilishe mapendekezo yao haraka Serikalini ili ifatutwe namna ya kuyashirikisha mapendekezo hayo katika marekebisho ya Sheria hiyo.

Pili, kwamba vyama vya siasa nchini, kama wadau muhimu katika mchakato wa Katiba Mpya, viangalie namna ya kukutana na kujenga mfumo wa mawasiliano na maridhiano wa jinsi kwa pamoja vitakavyosukuma mbele mchakato huo kwa maslahi mapana ya nchi yao na mustakabali wa taifa. Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kimepewa jukumu la kuratibu jambo hilo ikiwa ni pamoja na kuandaa mkutano wa vyama hivyo na wadau wengine nchini.

Viongozi wa vyama vyama vya siasa waliokutana na Mheshimiwa Rais Kikwete ni Mheshimiwa Profesa Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa CUF; Mheshimiwa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA na Mheshimiwa James Mbatia ambaye ni Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi.

Wengine ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Mheshimiwa Philip Mangula, Mheshimiwa Isaack Cheyo ambaye amemwakilisha Mwenyekiti wa Chama cha UDP Mheshimiwa John Cheyo na Mheshimiwa Nancy Mrikaria ambaye amemwakilisha Mwenyekiti wa TLP Mheshimiwa Augustine Mrema. Waheshimiwa John Cheyo na Mrema wako nje ya nchi.

Wengine ambao wameambatana na wenyeviti wao ni Mheshimiwa H. Mnyaa na Bwana Julius Mtatiro wa CUF, Waheshimiwa Tundu Lissu na John Mnyika wa CHADEMA na Bwana Martin Mng’ongo wa NCCR-Mageuzi.

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.

15 Oktoba, 2013





Attached Thumbnails Attached ThumbnailsClick image for larger version. 

Name: image.jpg 
Views: 0 
Size: 121.2 KB 
ID: 116859  

Tuzo ya MO Ibrahim 2013


No winner of the 2013 Ibrahim Prize for Achievement in African Leadership

by MIF | 14 October, 2013

The Mo Ibrahim Foundation’s independent Prize Committee has decided not to award this year’s 2013 Ibrahim Prize for Achievement in African Leadership.

The Ibrahim Prize for Achievement in African Leadership is the largest prize in the world, worth an annual US$5 million over 10 years and US$200,000 annually for life thereafter.

To win the Prize, Laureates must fulfill the following criteria: be a democratically elected former African Head of State or Government who has left office in the previous three years; have served her/his constitutionally mandated term; and have demonstrated excellence in office, helping to lift people out of poverty and paving the way for sustainable and equitable prosperity.
The Prize was established in 2007 by Mo Ibrahim, Founder and Chair of the Mo Ibrahim Foundation, to celebrate excellence in African leadership and to provide Laureates with the opportunity to pursue their commitment to the African continent once they have stepped down from office.

It is judged by an independent Prize Committee composed of seven eminent figures, including two Nobel Laureates.

Previous winners of the Ibrahim Prize include: President Joaquim Chissano of Mozambique (2007), President Festus Mogae of Botswana (2008), President Pedro Pires of Cape Verde (2011) and President Nelson Mandela of South Africa (Honorary).

Salim Ahmed Salim, Former Secretary-General of the Organisation of African Unity, Former Prime Minister of Tanzania and Chair of the Prize Committee, said:
“This Prize honours Former Heads of State or Government, who, during their mandate, have demonstrated excellence in leading their country, and by doing so, serve as role models for the next generation.”

“After careful consideration, the Prize Committee has determined not to award the 2013 Prize for Excellence in Leadership.”
Ibrahim Prize |Prize Committee | |

No winner of the 2013 Ibrahim Prize for Achievement in African Leadership by MIF

TAARIFA KWA UMMA/WADAUTAREHE 15 OKTOBA 2013 MKUTANO WA BARAZA LA UONGOZI LA KANDA YA KASKAZINI NA WADAU WA CHADEMA WAPENDA MABADILIKO NA UHURU WA KWELI.

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Kanda ya Kaskazini kinapenda kuwatangazia na kuujulisha umma na wadau wote kutoka mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Manyara na Arusha kuwa tarehe 25 hadi 27 Oktoba 2013 katika JIJI la Arusha yalipo makao makuu ya chama kwa kanda, kuwa kutafanyika mkutano wa Baraza la Uongozi la Kanda tarehe 25 Oktoba, ambalo
litajumuisha viongozi wa mikoa na mabaraza ya chama ngazi ya mikoa kutoka kanda ya kaskazini, Wabunge wote kutoka mikoa ya kanda ya kaskazini, Mameya na Wenyeviti wa Halmashauri zilizopo chini ya CHADEMA kutoka kanda ya Kaskazini na wajumbe wa kamati kuu wanaoishi ndani ya kanda ya kaskazini.

Sambamba na mkutano huu wa baraza la uongozi, tarehe 26 na 27 Oktoba, utafanyika mkutano wa wadau wote wa chama na wapenda mabadiliko ya kweli kutoka kanda ya kaskazini. Wadau hawa ni pamoja na wanasheria wote, wachumi, wahasibu, wahandisi, wahadhiri wa vyuo na waalimu, wanahabari, wafanyabiashara, viongozi wa dini na makundi yote maalumu na ya kitaaluma, wote wanaalikwa kushiriki katika mkutano huu ambao una lengo la kutoa fursa kwao kama watanzania wakiwa kama wadau wa kweli waweze kuitumikia nchi yao kupitia CHADEMA.

Katika mkutano huu wadau watapata fursa ya kushirikishwa katika nafasi za kimaamuzi na kiutendaji za kanda kwa lengo la kuijenga na kuiimarisha CHADEMA ambayo imekuwa na imeendelea kuwa tumaini kwa Watanzania kwa wakati huu wa uhitaji mkubwa wa mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi katika nchi yetu.

Mkutano huu utafunguliwa na pia kuhudhuriwa Mwenyekiti wa CHAMA Taifa Mhe Freeman Mbowe (MB) ambaye pia ni mbunge kutoka Kanda ya Kaskazini.

MAWASILIANO yote yafanyike kupitia kwa MRATIBU - KANDA
Ofisi ya KANDA – ARUSHA – Ngarenaro: NHC Nyumba Na. 8
S.L.P. 12525, Arusha, Tanzania. Simu: +255 784 343 275,
Email: chademakaskazini@gmail.com Tovuti: www.chadema.or.tz
Wadau wote mnakaribishwa sana kuhudhuria mkutano huu.
Kwa maelezo zaidi kuhusiana na ushiriki kwenye mkutano huu tafadhali tumia mawasiliano kwa
njia zifuatazo:
Simu: +255 758 976 260
+255 656 557 586
+255 755 282 878
Barua pepe: chademakaskazini@gmail.com
golugwa@gmail.com
Imetolewa leo tarehe 15 Oktoba 2013
Amani S. Golugwa
KATIBU – KANDA YA KASKAZINI

Kesi kuu nne (4) ambazo zingeweza kubadili mstakabali wa taifa la Tanzania

Kwa maoni yangu, kuna kesi kuu nne ambazo naamini kama zingeshughulikiwa vizuri pasipo kuoneana aibu, basi mustakabali wa Taifa letu ungebadilika. Wananchi wengeweza kuwa na imani zaidi na Serikali yao. Kesi hizo ni zifuatazo:

1. WIZI WA FEDHA ZA MADENI YA NJE (EPA): Kosa la kwanza katika hii kesi ni kuwapa wezi (majambazi) wa fedha za umma muda wa kurudisha walichokiaba bila adhabu yoyote; bila hata riba!!

2. KUTEKWA NA KUUMIZWA VIBAYA KWA MWENYEKITI WA MADKTARI (DR. ULIMBOKA): Hadi leo sijui nini kinaendelea. Hata Dr. Ulimboka mwenyewe simuelewi kabisaaa! Hivi hii kitu ndio imeisha kimyakimya hivyo. Katika tamko lake Dr. Ulimboka aliwataja kabisa na wahusika lakini sijui nini kinaendelea.

3. KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI MKOANI IRINGA AKIWA MIKONONI MWA POLISI: Laiti kama tukio hili lingetokea katika nchi za wenzetu wanaojali usalama wa raia na uwajibikaji panapotokea kosa, basi Afisa wa Polisi aliyehusika angetakiwa kuwajibishwa mara moja. Lakini hadi leo sijui nini kinaendelea.

4. SHUTUMA ALIZOZITOA DR. REGINALD MENGI KUHUSU MKUU WA KITENGO CHA KUZUIA MADAWA YA KULEVYA: Hii nayo inanishangaza. Ndugu Mengi alitoa shutuma mbele ya vyombo vya habari lakini sijui ni hatua gani zilichukuliwa kwa aliyeshutumu na kwa aliye-shutumiwa. Tunaweza sema labda walimalizia shida zao ofisini kwa siri; lakini ikumbukwe kwamba Dr. Mengi alitoa shutuma mbele ya umma wa Watanzania na tuna haki ya kujua nini kiliendelea.

Monday, October 14, 2013

NYERERE DAY.......

Muhimu kwa wanafunzi.... "Wajibu wenu ni kujifunza. Si kwa kusoma vitabu tu, maana yawezekana ukajua mambo mengi lakini pia ukwa huna manufaa kwa nchi yako na kwa wananchi wako......" Tukumbukuke mambo yote haya hayangoji ati utakapofikia umri wa  mtu mzima. Mnaweza sasa kujifunza na mnaweza sasa kuanza kusaidia kazi ya kujenga nchi...."

Friday, October 11, 2013

MY FAVORITE CLUB

Top 10 Richest Football Clubs Based on Trophies Won

Are you an avid fan of football? If yes, and you are wondering who the richest clubs are after having factored in the number of trophies won, then you are in luck. In this list, you’ll get to know the 10 wealthiest football clubs, ranked by the trophies the members were able to take home for their team.
10. Man City with 9 Major Trophies


Man City secures 10th place in this list of the wealthiest football clubs after taking into consideration the number of trophies won. The club, boasting of nine major trophies, is also ranked as the 9th most valuable team in the Forbes’ list of the richest in football. Man City is valued by Forbes at about $689 million.
9. Chelsea with 15 Major Trophies


Chelsea’s rise not only as a major financial power but also as a football club over the last ten years has been significant, with the team now being valued at about $901 million. This value is enough to make the club rank 7th in the Forbes’ football’s richest list, but since the trophies won are ten less than Arsenal, they land in the 9th spot on this list. Nine of the major trophies that the team has won in its 108 years in the industry have been achieved under Roman Abramovich’s ownership. All in all, Chelsea has won a total of 15 major trophies.
8. Arsenal with 25 Major Trophies


Arsenal, with 25 major trophies under its belt, is valued at $1.33 billion. This places them 4th on the Forbes’ list, but in terms of value and trophies, the team is below a notch of Liverpool here. Thirteen titles and two European trophies are some of the major accomplishments of the club. The lack of winnings of Arsenal in the past few seasons have raised concerns in fans, but hopefully, the members will get back on track and win a few silverware this summer.
7. Liverpool with 33 Major Trophies


Placing 10th on Forbes’ list and 7th on this one is Liverpool. However, if you actually take into consideration the historical success of the club, you will immediately realize that it outstrips the team’s value, which is estimated to be around $651 million. Out of the 33 major trophies that the team has received, 18 of these were titles, eight were major European trophies, and seven were FA Cups. Liverpool was not able to pick up silverware over the past few seasons. Fans are hoping that they’ll be able to win a few trophies in the years to come.
6. AC Milan with 36 Major Trophies


AC Milan has been ranked by Forbes as the most valuable club in Italy. Overall, the team secured 6th place in the Forbes’ list of football’s richest. The team has been awarded with 36 major trophies, which include seven European Cups and two Winners Cups. The last success of the team was in the form of the 2011 Series A victory, which is also the club’s 18th title. AC Milan is valued at $945 million.
5. Manchester United with 37 Major Trophies


Fifth on this list, but second on the one by Forbes, is Manchester United. This club is considered to be the most valuable in the Premier League, with a current valuation of $3.17 billion. However, in terms of success, after having only won a total of 37 major trophies, the team ranks below Juventus (46 major trophies won). During the era of the Premier League, Manchester United was the most successful club from England, as the team won 13 out of the 21 league titles available that time. The success was mainly attributed to the presence of Sir Alex Ferguson, the man responsible for obtaining 23 (out of the 37) major trophies on the list.
4. Juventus with 46 Major Trophies


Juventus, while only placing 8th in the Forbes’ list, deserves fourth here, with 46 major trophies under the team’s belt. This team is considered to be the greatest climbers when comparing between the silverware won and the members’ estimated value: 29 Series A Titles, nine Italian Cups, two World Club Cups, and All major European trophies have been won by the team. Juventus is valued at $694 million.
3. Bayern Munich with 48 Major Trophies


Fifth on the Forbes football’s wealthiest list, but third here when you take into consideration the major trophies won is Bayern Munich. This team has long since been the German football force, being in existence for 40 years and counting. The Bundesliga’s growing strength guarantees that the Bavarians are going to translate this into more money. Last season’s success adds to the ever expanding list of accomplishments, which now includes five trophies in the form of European Cups. The team now has a total of 48 major trophies. Bayern Munich is currently valued at an estimated amount of $1.31 billion, which a lot of people expect to increase soon.
2. Barcelona with 61 Major Trophies


Barcelona, having won a total of 61 major trophies, is ranked second in this list. Thirteen of these trophies were won in less than 10 years. Twenty-six Spanish Cups, 22 Titles, 11 major European trophies, and three Global Titles are what the team has been able to bring home. Thanks to the hard work and team effort of Barcelona, its estimated value is at $2.6 billion.
1. Real Madrid with 64 Major Trophies


The number one spot on this list of the top 10 wealthiest football clubs goes to none other than Real Madrid. There is no denying the fact that they are worthy of the highest rank, due to the number of trophies they have won (64 major trophies) and their value. This team is proof that wealth indeed brings silverware. Out of the 64 trophies that the team brought home, 32 of these were Spanish titles, 18 were Spanish Cups, nine were European Cups, three were Intercontinental Cups, and two were UEFE Cups. In terms of value, Real Madrid is estimated to be worth $3.3 billion.

Thursday, October 10, 2013

KIONGOZI MAKINI NI HUYU....

Mr. President, the faculty, staff, students, invited guests and the public at large. Allow me to express my gratitude, for the cordial welcome at your lovely campus. It is one of a kind, and If I could, I would have stayed much longer to learn more on your success that I could take back to our young people. The environment and the surroundings are as beautiful as the people themselves. Along the way, I have met great people with great hearts, and I thank you for that.

Likewise, receive greetings from the people of Tanzania. I was quite impressed with your level of research, and the homework you have done trying to know Tanzania, I was also particularly touched by some of you in the audience that knew the geography of my country; and even trying to challenge me . Mrs. Macquire, “People of Mto wa Mbu” are definitely proud of you for being such a good Ambassador. We thank you, and Tanzania needs more of you that will help in exposing it to the people of America
.

The Samford community, my journey has been long and tedious; I have travelled through hills and valleys of trials and tribulations. However, due to the need and challenges we face as a nation, physical fatigue of travel would not stop me from marching forward. I am determined to work with my countrymen to see our nation of Tanzania reach the Promised Land.

Tanzania is a great and rich country, with rich culture and rich people at heart. Her people have sent me on a study tour. They have sent me to learn the secrets of your success as a society

Tanzania is one of the most blessed countries on the face of the earth. It has abundance of natural wealth, and for those who understand the world history, know that the best game parks are in Tanzania. It is the place believed to be the cradle of mankind.

Tanzania is the home of Mt. Kilimanjaro, Serengeti national park, Ngorongoro crater, and Olduvai Gorge where the first man is believed to have lived. We have some of the world best beaches; our people are very hospitable and extremely welcoming. I welcome all of you to Tanzania

For a long time, Africa has been known as a dark continent infested with disease, poverty, starvation, illiteracy and never endings wars. This might have been created in your minds with the images in your televisions. I can’t blame you, because this is the truth you know

However, this is far from the reality. Africa and Tanzania in particular is the new frontier. Tanzania is a country rich in natural resources and only lacks human capital. It is a country with rich land and plenty of water bodies
Many African leaders are believed to come to Washington and other western capitals begging for handouts known as foreign aid. This has created a notion in the minds of many that Africans are poor and lazy.

This is not the case.

Africa is transitioning from mismanagement, dictatorship and corruption that have plagued the continent. Corruption is the main vice depriving Tanzanians and other Africans a chance to a better education, better healthcare and economic prosperity.

Well, I am not here to beg, because my country is rich. I know clearly well that, foreign aid does not come cheaply. It comes with a condition of signing up our sovereignty

I am not here for foreign aid, and CHADEMA party which I represent does not believe on foreign AID. This is my party’s philosophy, and any sane human being would not want to live off handouts, or going around begging because foreign aid is only needed as short term relief for countries coming out of calamities. Rwanda needed help to so it could emerge out of the ruins of genocide. Once it did, it became less interested on the foreign aid now a success economic story in Africa

Foreign aid is a form of slavery which creates a false sense of entitlement. It confines a beggar into a psychological and mental prison of his own creation, becoming incapable to make any meaningful decision of his own. He does not think on how to get out of his difficulties as long as he knows that, someone somewhere will help him.

CHADEMA party believes that all too often, foreign aid creates dependency by the receiving country onto the giving country and winds up in the pockets of corrupt rulers.

Foreign aid money are your taxes, your sweat which should work for your benefit not for people sitting on their wealth. More important than your dollars, are your brain trust, investments and technological advantage. This is what we need to utilize our resources and also in planning for years beyond our non-renewable resources

Our country rich in resources is being exploited by foreign entities, while our President is busy trotting the world begging for mosquito nets. With our resources, we can make our own mosquito nets without them being donated to us. Chadema party which I represent is poised to changed that, and the most important tool we need is the development of human capital

We need our resources to benefit our people. We need to create jobs for our people, we need to improve our health care, we need to improve our education, our infrastructures, communication and economy as a whole. And this is only possible if can with the wealth that we have all we need is better education for our people

We are currently having inequitable trade, where far eastern countries are exporting their poor populations to compete for jobs with our citizens. They are even exporting to us their prisoners to work on our roads yet millions of our young men have no jobs. This is not possible in any civilize society, unfortunately, because our rulers have signed contacts shrouded in secrecy whose contents are only known to them

Some of these individuals have turn to insult us as a nation. They are now interfering on our sovereignty, publicly aligning themselves with political parties. A whole ambassador standing on a political platform to address a political rally, and has ignored the public call for him to leave the country!

This is not the kind of trade we are looking for. We are looking for partners that will work with us to develop our resources in order to benefit our people; Partners that will bring to our country new skills, and also create jobs for our graduates. We need your expertise so we can turn our country into a bread basket of Africa. America is the world’s land of milk and honey where everyone wants to be, that’s the model we want to learn from

Well, we have come to realize, that if you feed us today with your milk and honey, our meals for tomorrow may not be guaranteed. We instead want to know how you made your country into a land of milk and honey so we can be able to feed ourselves for unforeseeable future and also feed the rest of the world. We have the potential but lack the expertise, and the know how is what we need

Tanzania is not an island; it is part of the global community where all humans have the liberty to visit whenever they want. Our boarders are open for all, as long as our laws and culture are respected. All we need is trade partnership that will guarantee fifty-fifty trade, in which the country benefits equally with the investor.

The younger American generation, I am inviting you to visit Tanzania; I am talking to you as the investors of tomorrow. Come and explore the endless possibilities my country has for you. We need investors that will bring into our country, a set of skills and creativity to turn our hardwood into high quality, made in Tanzania products, as opposed to bringing cheap furniture made of plywood while hauling away our valuable timber

Chadema party believes on the free market economic philosophy in which individual creativity is rewarded. We need your partnership in fostering individual innovation within our people. We don’t need your tax money; neither do we need your mosquito net donations, we need your skills.

We don’t need shoe boxes, we need to know how to make our own shoes. We need your technological know how
CHADEMA party’s priority number one is education! Priority number two is education and so is the priority number three.

We believe on education to be the only way for Tanzania to rise from the abject poverty it is in today. We have no alternative but train our young people who will in turn, employ their intellectual creativity into full practice to enable Tanzania become an economic giant in a continent long forgotten

Samford is one of the American’s finest educational institutions. It is producing some of the world finest, from school teachers to the finest lawyers. It is my hope that we see your institution open its doors to our support and in preparing Tanzania’s aspiring scientists, teachers, and accountants to become innovators.

In our effort to make our country a unique success story, I am challenging you the young people to go out to the world, and open new trails for others to follow. Tanzania has its doors open for you.

Thank you all for listening.

Dr Wilbrod Peter Slaa is the General Secretary of the Main Opposition Party in Tanzania (CHADEMA).He came second during the 2010 Presidential elections which President Kikwete won. Dr Slaa is expected to contest in the year 2015 General elections.He is the number one critique of President Kikwete's government.

MWAKA WA LIVERPOOL

Mwaka huu club bingwa mara nne ya UCL, Liverpool ya Uingereza inaonekana itarejesha hadhi yake kwa kucheza UCL kwa msimu ujao. Hii inatokana na mwenendo wa timu hiyo kwenye ligi kuu ya uingereza ambayo ipo nafasi ya pili ikiwa na point sawa na Arsenal inayoongoza ligi hiyo....