Monday, October 14, 2013
NYERERE DAY.......
Muhimu kwa wanafunzi.... "Wajibu wenu ni kujifunza. Si kwa kusoma vitabu tu, maana yawezekana ukajua mambo mengi lakini pia ukwa huna manufaa kwa nchi yako na kwa wananchi wako......" Tukumbukuke mambo yote haya hayangoji ati utakapofikia umri wa mtu mzima. Mnaweza sasa kujifunza na mnaweza sasa kuanza kusaidia kazi ya kujenga nchi...."
0 comments:
Post a Comment