KATI YA KATA ZENYE BARABARA ISIYOPITIKA KATIKA JIJI LA ARUSHA NI KATA YA TERRAT LAKINI CHA KUSHANGAZA DIWANI WAKE ANASISITIZA HAKUNA TATIZO LA BARABARA NA WANAODAI BARABARA NI GENGE LA VIJANA WAHUNI
Hii ni sehemu ya barabara kuu ya Terat iendayo kwenye shule pekee ya sekondari iliyopo kwenye kata hii..... Zaidi kata ina zahanati moja ya afya hali inayowafanya wakazi wengi kusafiri zaidi ya KM 20 kufuata huduma hii ya afya....
Endelea kufuatilia habari hii upate mengi usiyoyajua kuhusu kata hii iliyopo ndani ya jiji la kitalii la Arusha na inayotoa moram nzuri ya kutengenezea barabara ambayo ndio inayotumika jijini hapa....

0 comments:
Post a Comment