HICHI NDICHO KISA CHA LEMA KUKAMATWA NA KUWEKWA NDANI
TAFAKARI MANENO YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA-MAGESA MALONGO WAKATI AKIHUTUBIA SIKU YA MEI MOSI JANA HAKIKA UTAGUNDUA SABABU YA LEMA KUWEKWA NDANI.
“Mimi nilikuwa Mkuu wa Wilaya Bagamoyo, hivi hivi wakawa
hawanielewi lakini ilifika wakati wakanielewa, kwani kuna miongoni mwao tulitaka kuwafikisha katika sheria, lakini tukayaacha kwa kuwa
sisi ndio walezi,”
........Akaendelea
“Unapoingia katika mkakati wa kudhalilisha kiongozi wa serikali unakuwa umeiweka roho yako rehani. WAANDISHI wa habari kuweni makini kuandika habari za Serikali vinginevyo
muwe tayari kuweka ROHO zenu Rehani kwani serikali ina nguvu nyingi”

Sasa jiulize kumbe Lema aliwekwa ndani kwasababu alisema ukweli kuhusu viongozi wa serikali????
Cha ajabu zaidi mahakama ikakubali kusikiliza kesi ya kipuuzi kama hii, ambayo ipo kinyume na uhuru wa kidemokrasia.....
.........NI HERI VITA INAYOTAFUTA HAKI NA USAWA KULIKO AMANI INAYOPUMBAZA NA KUZALILISHA UTU WA MWANADAMU........

0 comments:
Post a Comment