Music

Thursday, May 2, 2013

LEMA AHUTUMIA MAELFU YA WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA

Mbunge wa Arusha mjini asiyependwa na mafisadi akiwepo Kikwete na kabineti yake Mh. Godless Lema akiwautubia wapenzi na mashabiki wa CHADEMA katika viwanja vya Shule ya msingi Ngarenaro,akiwaelezea jinsi Demokirasia inavyobakwa na watawala kwahiyo tusife moyo ktk harakati hizi za ukombozi wa Taifa hili wengi watang'olewa kucha na meno na wengi watakufa lakini tusife moyo.
Najiuliza kwanini msimuache kijana awatumikie wananchi wake na hali halisi inaonyesha ni kipenzi cha wengi????

0 comments:

Post a Comment