Music

Thursday, March 13, 2014

HONGERA Mh. SAMWEL SITA


Mimi ni miongoni mwa waliofarijika kwa ushindi wa Sitta hapo jana, kufuatia ushindi wa kishindo wa Mhe. Samweli Sitta hapo jana katika kinyang'anyiro cha Uenyekiti wa Kudumu wa Bunge Mauls, Mhe. Sitta anaenekana kukubalika sana, ambao naimani wale mlioangalia live, pia mlimuona ni nani mtu wa kwanza kunyanyuka pale alipo na kwenda kumpongeza!.


Hivyo kufuatia kukubalika huko, naomba kuwatoa wasiwasi washabiki wake wote, wa ukombozi wa pili wa kweli wa Mtanzania, 2015 rais wetu atakuwa ni yule yule "the one and only!", Samuel Sitta tutamfanya ndiye Waziri Mkuu wa Serikali ya JMT!, hivyo Sitta atakuwepo!.

Hili likifanyika ni uthibitisho, huyu jamaa yetu ni kama Mandela, anasamehe, sio mtu wa visasi, haweki mabaya moyoni, na atashirikiana na wote wenye uwezo akiwemo Dr. Harison Mwakyembe!.

Hongera Sana Samuel Sitta,

0 comments:

Post a Comment